Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwetu kwetu ukiwa mweusi, na mkeo mweusi, mukizaa mtoto mweupe, aaaaaa umeshaibiwa!
Urithi wa rangi si lazima utoke kwa baba au mama, inawezekana ukatoka kwa babu au bibi hata kizazi cha tano.
Watoto wa Barack Obama wanaweza kuzaa mtoto mweupe sana hata wakiolewa na mtu mweusi kwa kufuata weupe wa bibi yao mzaa baba aliyekuwa mzungu.
Kwa uhakika zaidi DNA test inahusika.
ha ha ha
Alibnism inarithiwa pande moja ama nyingine,
Binafsi nna kaka kaoa mke mweusi kama yeye lakini wamezaa albino, Hii ni kwa sababu Upande wa mke wake kuna watoto ambao alizaliwa nao ambao ni alibino.