MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Leo baada ya kumaliza shughuli zangu za hapa na pale mchana nikaamua kupitia maktaba. Nilikuwa nasoma kuhusu mchango wa Afrika kwenye maendeleo ya dunia yetu, maana kuna chapisho na semina naandaa. Nikajikuta namsoma Mwanazuoni Cheikh Anta Diop na kuna maneno yake yalinigusa sana:mkuu, hata ukisoma Bible Revelation 1:14-15 ambapo imedescribe muonekano wa Yesu akiwa mbinguni inaonyesha ana muonekano wa broze (shaba nyeusi), The bible haisemi copper (shaba nyekundu) na nywele kama wool.....a non caucasian description. people don't read literatures in three dimensions.
Watu weusi tutaamka siku tutakapoanza kutumia elimu hizi tulizokaririshwa na kuanza kuhoji kila kitu tulichofundishwa. A few of us have awaken, waliobado usingizini ndiyo wakisoma tunayoaandika hawaelewi wanaona kama ni uongo
"When they explain their own historical past . . . that seems normal. Yet, when an African does likewise to help reconstruct the national personality of his people, distorted by colonialism that is considered backward or alarming. We contend that such a study is the point of departure for the cultural revolution properly understood."
Unapozungumzia historia ya mtu mweusi watu wa kwanza kabisa kukushambulia ni watu weusi. Kibaya zaidi mambo nyeti kama haya ya kihistoria tumeamua kufundishwa na jamii nyingine. Leo hii waandishi wakubwa wa historia ya Afrika wanatoka Oxford, Cambridge, Vatican, Harvard, Georgetown, nk.
When it comes to African History and Identity our intellectuals are in a state of despondency.