Rangi za nembo ya Kombe la Dunia 2026 zatabiri bingwa

Rangi za nembo ya Kombe la Dunia 2026 zatabiri bingwa

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Nadharia mpya mtandaoni inadai kuwa mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 anaweza kutabiriwa kupitia rangi rasmi za nembo ya mashindano. Mashabiki wanaamini rangi hizo zinaweza kutoa ishara ya mapema kuhusu taifa litakalotwaa ubingwa.

Hoja hiyo inatokana na matokeo ya matoleo matatu yaliyopita, ambapo Argentina (2022), France (2018), na Germany (2014) zote zilikuwa na bendera zenye rangi zinazofanana na nembo za mashindano yao.

Baadhi ya watu wanalifananisha hili na nadharia ya Super Bowl, wakidai hata FIFA inaweza kuwa na “script” yake.

Unadhani ni bahati tu au kuna kitu zaidi?

 
Hizi elimu ni bora kubaki nazo tunazo fahamu.Tukizileta hapa mtabaki kutuona machizi.

Hivi unajua dunia ina ratiba na inapangwa na watu.
Unaona hii picha ilitoka 2025 ila kusudi kuwa yatakayo kuwepo 2026 ni haya.Na mshindi wa kombe la dunia yupo hapo na kila jambo 2026 lipo hapo
images (29).jpeg
 
Ni nani huyo mtaje mi nimuweke mpunga au ndio raml chonganish
 
Ni nani huyo mtaje mi nimuweke mpunga au ndio raml chonganish
Portugal to win 2026 world cup ,per conspiracy theoriesss...
weka mpunga..Binafsi nshatiaa mshahara wangu wa June
 
Ni nani huyo mtaje mi nimuweke mpunga au ndio raml chonganish
Paraguway +france= france anapita
canada + moroco = canada anapita
vvvvv
france +canada =france anapita.


Portugies +spain = portigues anapita.
UsA +belgium = belgium anapita
vvvvvvv

Portugies +belgium = portugies anapita.


upande wa kulia.

brazil +Norway= brazil anapita

Mex +england = mexico anapita ndio mtabaki na butwaa.

Ila kwa mbali
kati portigues + mexico finali

portugies+Argentina finali.

na kama argentina akivuka anaweza kukutana na brazili ila brazili hata vuka finali
 
Back
Top Bottom