Nadharia mpya mtandaoni inadai kuwa mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA 2026 anaweza kutabiriwa kupitia rangi rasmi za nembo ya mashindano. Mashabiki wanaamini rangi hizo zinaweza kutoa ishara ya mapema kuhusu taifa litakalotwaa ubingwa.
Hoja hiyo inatokana na matokeo ya matoleo matatu yaliyopita, ambapo Argentina (2022), France (2018), na Germany (2014) zote zilikuwa na bendera zenye rangi zinazofanana na nembo za mashindano yao.
Baadhi ya watu wanalifananisha hili na nadharia ya Super Bowl, wakidai hata FIFA inaweza kuwa na “script” yake.
Hizi elimu ni bora kubaki nazo tunazo fahamu.Tukizileta hapa mtabaki kutuona machizi.
Hivi unajua dunia ina ratiba na inapangwa na watu.
Unaona hii picha ilitoka 2025 ila kusudi kuwa yatakayo kuwepo 2026 ni haya.Na mshindi wa kombe la dunia yupo hapo na kila jambo 2026 lipo hapo