Tangu nitoke hukooo chuo cha mafunzo ya ... nimebadilika sanaUtakua unashinda sana juani.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]18% Mimi ni mweusi kuna muda huwa nahisi kipindi nikiwa mdogo nilikuwa siogeshwi ndio maana nikawa hivi.
Dah.
Maisha yamekupiga[emoji15]Mi najishaa kipindi niko mdogo nilikuwa mweupe ila saa hivi ni mweusi balaa
Ni swala la mda mkuu ukitoka Monduli lazima ngoz ibadrikeTangu nitoke hukooo chuo cha mafunzo ya ... nimebadilika sana
kunywa maji mengi mkuu...18% Mimi ni mweusi kuna muda huwa nahisi kipindi nikiwa mdogo nilikuwa siogeshwi ndio maana nikawa hivi.
Dah.