Rangi za watanzania

Rangi za watanzania

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,214
70% - maji ya kunde
18% - weusi
10% - weupe
02% - weupe zaidi

Source: observation yangu.
images.jpeg
images-2.jpeg
images-3.jpeg
 

Attachments

  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    12.6 KB · Views: 42
18% Mimi ni mweusi kuna muda huwa nahisi kipindi nikiwa mdogo nilikuwa siogeshwi ndio maana nikawa hivi.

Dah.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
aisee kuna kitu unakitafuta na hiyo observ yako
 
Ni swala la mda mkuu ukitoka Monduli lazima ngoz ibadrike
Ndo maana wanasayansi wanasema waafrika na wahindi na jamii zingine ni weusi sababu wapo karibu na jua kali la equator.
 
hao weupe wakoje koje ni kama karatasi au ?
 
Rangi za watanzania waliopo instagram waweza kufuru, chungwa likasome yani
 
Back
Top Bottom