Ranking mpya za vyuo 100 africa

Ranking mpya za vyuo 100 africa

Watu wa mkoa bhana utawajua tu,kaz kusifia Udsm coz bila udsm dar wangeisikia bomban,iko hiv watu wanatusua nje ya mipaka ya bongo hata kwa kusoma CBE,base ndo kila kitu,kaen na ushabiki wenu na GPA zenu hzo za Pass tuone mtafka wapi.
 
Hivi huwa wanaangalia vigezo vipi kwenye hizo rank?????????????????????????????????????????????????????????
 
Mimi ni ardhi damu na nakwenda kupiga engineering,sisomi course mchele mchele mimi,hio statistics niliulizia tu nikaona nitaingia chaka.,geomatics ndio mpango mzima,nimepata full sponsor kutoka smz.

Maengineer wanaishia kuwa masikini
 
Mimi ni ardhi damu na nakwenda kupiga engineering,sisomi course mchele mchele mimi,hio statistics niliulizia tu nikaona nitaingia chaka.,geomatics ndio mpango mzima,nimepata full sponsor kutoka smz.

Injinia bongo sema sio inshu japo kuna wenzenu waliangusha ghorofa sa cjui wenzetu itakuwaje...kila la kheri
 
Let me watch and see you playing your sagacious dramas....

Ulidhabi kile chuo ulichopata ndio kilakitu,nahisi sasa hivi unakidharau hata kabla hujaripoti...

Ile facults yako ulidhani ndio kila kitu,just to be adored,masikini ukachengana na utamu wa heslb...

Wewe dogobkeep in oblangata that...
things changes...
things fall apart...
You'll feal losing control kama hautakubali kuendana na mabadiliko....

Kaka samahani kama FACEBOOK imekushinda mi nadhani ipo mitandao mingi ya kijamii kama tweeter,pininterest n.k sio kucomment maneno ya kijinga wakati hili jukwaa la kisomi over.........
 
Back
Top Bottom