Ranking mpya za vyuo 100 africa

Watu wa mkoa bhana utawajua tu,kaz kusifia Udsm coz bila udsm dar wangeisikia bomban,iko hiv watu wanatusua nje ya mipaka ya bongo hata kwa kusoma CBE,base ndo kila kitu,kaen na ushabiki wenu na GPA zenu hzo za Pass tuone mtafka wapi.
 
Hivi huwa wanaangalia vigezo vipi kwenye hizo rank?????????????????????????????????????????????????????????
 
Mimi ni ardhi damu na nakwenda kupiga engineering,sisomi course mchele mchele mimi,hio statistics niliulizia tu nikaona nitaingia chaka.,geomatics ndio mpango mzima,nimepata full sponsor kutoka smz.

Maengineer wanaishia kuwa masikini
 
Mimi ni ardhi damu na nakwenda kupiga engineering,sisomi course mchele mchele mimi,hio statistics niliulizia tu nikaona nitaingia chaka.,geomatics ndio mpango mzima,nimepata full sponsor kutoka smz.

Injinia bongo sema sio inshu japo kuna wenzenu waliangusha ghorofa sa cjui wenzetu itakuwaje...kila la kheri
 
Kaka samahani kama FACEBOOK imekushinda mi nadhani ipo mitandao mingi ya kijamii kama tweeter,pininterest n.k sio kucomment maneno ya kijinga wakati hili jukwaa la kisomi over.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…