Rapa B.o.B ataka kudhibitisha dunia sio mviringo

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043


Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi wanavyoamini.

Katika kufanikisha azimio la kampeni yake, rapa huyo ame plan kurusha satelites kadhaa angani ili aweze kudhibisha kile anachokiamini kuwa dunia sio mviringo (tufani) tofauti kile wanasanyansi wanakiamini miaka zaidi mia moja iliyopita.

Kampeni hiyo ya "GoFundMe" ili kuweza kuifanikisha dola 200,000 za kimarekani zitahitajika ambapo mpaka sasa ameshapata dola 255 tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]



 
Ataminiwa na waganga wa kienyeji tu....
 
Sijui kawaza nini lkn naamini chidi atakua najubu
BTW ngoja nimstue uncle akamilishe viwonder tupate tenda iwe made in TZ satellite'
 
Dunia inaanza upya wake sasa kwa hali hii
 
Sijui kawaza nini lkn naamini chidi atakua najubu
BTW ngoja nimstue uncle akamilishe viwonder tupate tenda iwe made in TZ satellite'
Chubu akishajubu utanishtuu
 
Mbona Chidi alithibitisha kuwa 2pac yupo alive na anaishi Jamaica bila hata kuwa funded!...aache uroho wa pesa!
 
Bangi haitawaacha ma rappar salama ndani na nje ya nchi

Wasaidiwe dawa za Ku reduce makali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…