SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Rapa B.o.B wa nchini Marekani hivi karibuni ameanzisha kampeni ijulikanayo kama "GoFundMe" ikiwa na dhumuni la kuudhibitishia ulimwengu kuwa dunia ipo flat na si mviringo kama ambavyo wanasanyansi wanavyoamini.
Katika kufanikisha azimio la kampeni yake, rapa huyo ame plan kurusha satelites kadhaa angani ili aweze kudhibisha kile anachokiamini kuwa dunia sio mviringo (tufani) tofauti kile wanasanyansi wanakiamini miaka zaidi mia moja iliyopita.
Kampeni hiyo ya "GoFundMe" ili kuweza kuifanikisha dola 200,000 za kimarekani zitahitajika ambapo mpaka sasa ameshapata dola 255 tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]