Rapa Chemical aachana na utomboy na sasa kawa Beyonce

Rapa Chemical aachana na utomboy na sasa kawa Beyonce

Stereo ndio nani?
ni msanii mkongwe wa hip hop kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa mpe habar ambao amemshirikisha rich mavoko
19367880_174898126381459_6888894502153486336_n.jpg
 
Pamoja na kuvaa lace wig lakin sura ngumu kama jiwe bora aendelee vile vile,hana haiba ya kike
 
rosa ree hana anachoimba zaidi ya matusi, hawezi kumfikia mtoto wa mwana lubao! rosa ree kwa chemical akasome au atafute mume aolewe maana hana uwezo wa kushindana na chemical
Ni kweli? Watu wenye uwezo mdogo wa akil muda mwingi hujadili watu ,I mean to do comparison,eti ni kwel
ni msanii mkongwe wa hip hop kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa mpe habar ambao amemshirikisha rich mavokoView attachment 545740


mzuri wa kumchimba, anatakiwa apigwe shimo mpaka aelewe somo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom