bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 871
Swadakta. Kila mtu ana standard zake ndio maana nimesema mwanamke hata siku moja hawezi kukosa mtu wa kulala nae. Anaweza kukosa wa kumuoa ila wa kulala nae hakosekani hata awe mbaya vipi...unacheza na ny.ege za wanaume nini wewe...we jinsia gani kwanzaMkuu kwa jinsi wanawake walivyowengi kiasi hiki? Nye.ge haziui aisee ntakufa na utamu wangu ila sio kumuingilia kicha/ mtu mweny utindio wa ubongo
Kila mtu anastandard zake, mimi mwanamke hata awe na niniii, kama std zangu ajafika si.....!
Atakosaje mwanaume bhana? As long as kile kiungo anacho kiungo pinzani kitakuja tuakikosa mwanaume kabisa anaweza kujiti.a hata na kidole chake tu. hana lolote huyo.
nyundo?Uwe rafiki ya wema halafu usigongwe??
Ahahahahahaaaaaa umeamua kunikata maini kabisahahah hapo sasa,kibongobongo ni yule rafika ambae unakuwa nae kimahusiano ya mapenzi.nadhani utataka kuuliza pia mapenzi ni nin bila ubish? nasubir uniulize ndo nitaendlea....
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).
Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia.
Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
View attachment 433229
picha za chini msanii chemical akiwa kwenye pozi mbalimbali
View attachment 433231 View attachment 433232 View attachment 433233
hahhaha...mkuu ndio maana yakeeee.Ahahahahahaaaaaa umeamua kunikata maini kabisa
Aisee. Yaani ungeweka hizi picha halafu useme watu tubeti kama ni mwanamke au mwanaume mi ningebeti hata nyumba ya urithi nikishadadia kuwa ni mwanaume. Sishangai kwamba bado angali bikra!
Yesse-Lambert hakika sina imani kama yeye nibikiraKwa hakika...
"Yote ni Kujilisha Upepo !!!"
Naongezea.....Hata na jinsia moja?!Uwe rafiki ya wema halafu usigongwe??