Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Mkuu kwa jinsi wanawake walivyowengi kiasi hiki? Nye.ge haziui aisee ntakufa na utamu wangu ila sio kumuingilia kicha/ mtu mweny utindio wa ubongo

Kila mtu anastandard zake, mimi mwanamke hata awe na niniii, kama std zangu ajafika si.....!
Swadakta. Kila mtu ana standard zake ndio maana nimesema mwanamke hata siku moja hawezi kukosa mtu wa kulala nae. Anaweza kukosa wa kumuoa ila wa kulala nae hakosekani hata awe mbaya vipi...unacheza na ny.ege za wanaume nini wewe...we jinsia gani kwanza
 
akikosa mwanaume kabisa anaweza kujiti.a hata na kidole chake tu. hana lolote huyo.
Atakosaje mwanaume bhana? As long as kile kiungo anacho kiungo pinzani kitakuja tu
 
Inawezekana.....Naona yupo na bikra mwenzake hapo,sepenga
 
hahah hapo sasa,kibongobongo ni yule rafika ambae unakuwa nae kimahusiano ya mapenzi.nadhani utataka kuuliza pia mapenzi ni nin bila ubish? nasubir uniulize ndo nitaendlea....
Ahahahahahaaaaaa umeamua kunikata maini kabisa
 
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).

Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).

Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia.

Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
View attachment 433229

picha za chini msanii chemical akiwa kwenye pozi mbalimbali

View attachment 433231 View attachment 433232 View attachment 433233

Mhhh ni Me au Ke? Mbona kama vile Male? Au macho yangu tu mkuu...
 
Hata kama mi ni mwanaume namuacha na bikra yake mtu gani hata haiba ya kike hana bana
 
Zamani sana nikiwa mdogo nilisikia demu flan wa kiroboto alisema hajawahi kuguswa sasa dah wameisha hawana malezi bora ndio maana wanajitangazia ujinga kama huo

Kwani kama bikira inamsaidia nini akiweka kwenye vyombo vya habari
 
Ushahidi huu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20161122-162031.png
    Screenshot_20161122-162031.png
    189.5 KB · Views: 123
Naniikamwambia anamtakaa loh bikira ya makalioo labda
 
Back
Top Bottom