Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Na ndo maana mimi nasemaga "virginity is lack of opportunity" kama huyu uwezi kuniambia kua lajitunza... kakisa wakumwomba mchezo, na saiv ashaonekata kwny kideo lazima wamtufue[emoji28]
Weweee mwanamke hawezi kukosa mtu wa kumt.ia hata awe mbaya kiasi gani. Ndio maana hata vichaa wanapewa mimba tena sio vichaa wenzao ila wanapewa na wavaa tai kabisa
 
Huyu bint anajichanganya aliojiwa na Planet bongo akasema alikua na mpenzi wamemwagana
jiongeze wewe,'Tomboy' akisema alikua na mpenzi haimaanishi yeye ndo alikua "mtendewa"....... so sioni ajabu chemical kua bikira.
 
Kumbe chemical hua ni jike..!? kuna video yake niliona nikajua kidume, basi ni haki yake kua bikira
 
Ila ni mgumu kwa muonekano Niliwai kumuona akiwa anaingia Chuo UDSM akiwa mwaka Wa kwanza aisee... Vitu vya kike na yeye ni kama macca na Vatican, yy vibukta tuu tena vile vifupi na saspenda watu walimshaangaa mpka wakamzoea
 
Nashukuru mkuu! Nitamtafuta...
Kama ni kwa nia njema mkuu nenda pale geti la FPA UDSM karibu Na mama lishe lazima utamuona nahisi atakuwa mwaka Wa mwisho sasa hivi. Anasomea muziki, kisha mkumbushe performance yake ya kwanza akiwa MABIBO HOSTEL ilikuwaje na vip Kuhusu GROUP LA YOUNG CHALIE LINAENDELEAJE.
 
Aisee bikira?...niliangaliaga interview yake plannet bongo alikuwa anasema kaachana na mpenz wake huyu....jaman alikuwa anamtunza kumbe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Halali awe bikira kwa sura hiyo na shapeless fikiria kwa sasa msanii ana mwonekano huo je kipindi bado hajawa msanii si ilikua tishabo
 
Ruge liked this post moments ago...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ruge ataanza kuufatilia mzigo nini ?! Ila akimfurahisha ruge jua kuwa atapangishiwa nyumba nzima muda sio mrefu..! Ajiandae kutotoleshwa vitoto tu ![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 


Kwa nia njema kabisa...nitamtafuta mwakani! s
 
Labda bikira kinyume na maumbile.
Yaani videmu vya Bongo vinataftaga kiki..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kanajua katawapata wengi ili nako kawe na hela kama Sepenga. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…