Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko Fine and performing Arts (FPA)- Udsm ila sikukumbuki exactly kozi anayosomaanasoma kozi gani UDSM?
[emoji3] [emoji3] ..kwa sababu nimekutana naye mara nyingi in person...hata kabla hajawa. MaarufuUmejuaje ana aibu?![emoji1] [emoji1] [emoji1]
Weweee mwanamke hawezi kukosa mtu wa kumt.ia hata awe mbaya kiasi gani. Ndio maana hata vichaa wanapewa mimba tena sio vichaa wenzao ila wanapewa na wavaa tai kabisaNa ndo maana mimi nasemaga "virginity is lack of opportunity" kama huyu uwezi kuniambia kua lajitunza... kakisa wakumwomba mchezo, na saiv ashaonekata kwny kideo lazima wamtufue[emoji28]
jiongeze wewe,'Tomboy' akisema alikua na mpenzi haimaanishi yeye ndo alikua "mtendewa"....... so sioni ajabu chemical kua bikira.Huyu bint anajichanganya aliojiwa na Planet bongo akasema alikua na mpenzi wamemwagana
braza hyo sura ya avatar yako na jna 2nakodisha bunduki, yan nacheka sana, kweli wewe mbunifuMmmh iv gal kwel? Au macho yangu yana matatizo
fine and arts!anasoma kozi gani UDSM?
Kama ni kwa nia njema mkuu nenda pale geti la FPA UDSM karibu Na mama lishe lazima utamuona nahisi atakuwa mwaka Wa mwisho sasa hivi. Anasomea muziki, kisha mkumbushe performance yake ya kwanza akiwa MABIBO HOSTEL ilikuwaje na vip Kuhusu GROUP LA YOUNG CHALIE LINAENDELEAJE.Nashukuru mkuu! Nitamtafuta...
Aisee bikira?...niliangaliaga interview yake plannet bongo alikuwa anasema kaachana na mpenz wake huyu....jaman alikuwa anamtunza kumbe[emoji15] [emoji15] [emoji15]Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa jina la "I'M SORRY MAMA" mwanadada Chemical, amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu azaliwe).
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika kipindi cha D'WIKEND CHATSHOW kinachorushwa kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(ulesbian).
Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa, kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia, na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa mjini wamekuwa wakitumia.
Pichani msanii chemical akiwa na msanii mwezake wa bongo muvi bibie wema sepetu
View attachment 433229
picha za chini msanii chemical akiwa kwenye pozi mbalimbali
View attachment 433231 View attachment 433232 View attachment 433233
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ruge ataanza kuufatilia mzigo nini ?! Ila akimfurahisha ruge jua kuwa atapangishiwa nyumba nzima muda sio mrefu..! Ajiandae kutotoleshwa vitoto tu ![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ruge liked this post moments ago...
mmmmmhNi demu na ana aibu kichizi
Kama ni kwa nia njema mkuu nenda pale geti la FPA UDSM karibu Na mama lishe lazima utamuona nahisi atakuwa mwaka Wa mwisho sasa hivi. Anasomea muziki, kisha mkumbushe performance yake ya kwanza akiwa MABIBO HOSTEL ilikuwaje na vip Kuhusu GROUP LA YOUNG CHALIE LINAENDELEAJE.
Yaani videmu vya Bongo vinataftaga kiki..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda bikira kinyume na maumbile.