Rapa Chemical : "Sijawahi kuguswa na mwanaume yeyote" Adai yeye ni Bikra

Nafikiri tuwaulize salama jabir na Getty kama wana bikira.kama wanazo na huyu atakuwa nayo.ila kama hawana na huyu atakuwa hawa.maana wale ndo wagumuu.
wapate bikra kwani dildo wanazotumia baada ya kusagana hazina ncha? acha utani na jabir wewe. pale ukitaka apigane na wewe ngumi mtongoze ukimwambia unataka kumlala, anatoa hadi jasho kwa hasira, kisa ati umemfananisha yeye na mwanamke wa kulalwa..shetani amemwingia hadi akili hana.
 
Weweee mwanamke hawezi kukosa mtu wa kumt.ia hata awe mbaya kiasi gani. Ndio maana hata vichaa wanapewa mimba tena sio vichaa wenzao ila wanapewa na wavaa tai kabisa
akikosa mwanaume kabisa anaweza kujiti.a hata na kidole chake tu. hana lolote huyo.
 
Tumekuwa naye Chuo UDSM kabla sijahitimu..so muziki ulituunganisha tukafahamiana mkuu.
Mkuu kweli unamfahamu. Pale Twiga Secondary alikuwa normal sana. Ni msichana mrembo kama akiondoa Swaggs zake ila chura hana.
Tatizo ni kwanini amekuwa akipenda sana kuvaa makobazi kuliko viatu vya kufunika?
 
Maisha ya bongo hupati ajira bure bure lazima uliwe tu. Au huijuwi hio siri mkuu?[emoji15] Kama mtoto mzuri nenda ukatolewe bikira yako hapo
Na wasi wasi wewe shoga si bure mana mtoto wa kiume hatunaga maneno ya kingese hivi
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Na wasi wasi wewe shoga si bure mana mtoto wa kiume hatunaga maneno ya kingese hivi
Imekugusa sana naona au wewe ndio muhusika?[emoji15] Jina unalotumia lina ukakasi kidogo mimi sigegedi wagese lakini kuna dalili ya kukugegeda. Watu wa pwani hatunaga mchezo chipsi kuku bia tatu tunawaf*laga ngese kama wewe.[emoji39]
 
Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya
Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa
jina la “I’M SORRY MAMA” mwanadada Chemical,
amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu
azaliwe).

Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika
kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa
kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa
bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia
moja(ulesbian).

Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa,
kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada
wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia,
na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa
mjini wamekuwa wakitumia
 
Anaonekanaa... if true stay that way till the best times of givn it out lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…