Msanii wa kizazi kipya anaepeperusha bendera ya
Tanzania kwa kupitia songi lake jipya linalokwenda kwa
jina la “I’M SORRY MAMA” mwanadada Chemical,
amesema yeye ni bikira(hakuwahi kujigi jigi tangu
azaliwe).
View attachment 433654
Chemical ameongea hayo wakati akihojiwa katika
kipindi cha D’WIKEND CHATSHOW kinachorushwa
kupitia clouds tv. Chemical ameongeza, licha ya kuwa
bikira hajawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia
moja(ulesbian).
View attachment 433655
Vilevile ameongezea, yeye hana gharama kabisa,
kwasababu hatumii mavitu ya gharama kama wadada
wa mjini(hapaki miwanja, haweki manywele ya bandia,
na makororo mingine ya thamani) ambayo wadada wa
mjini wamekuwa wakitumia