Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Upuuzi mtupu. Misingi ya hip hop ni kutetea upande unaoonewa
Yeah, upande wa Samia unaonewa sana na kina lissu na nyumbu wake (kueneza uongo, matusi, fitna, wivu, husda n.k) hivyo ni muhimu kutetewa. Safi sana Fid QUpuuzi mtupu. Misingi ya hip hop ni kutetea upande unaoonewa
Ukiwa na fikra kama zako unatakiwa uende kwenya kioo ujitazame kweli umevaa nguo au uko uchi. Kwa nini mnawatengenezea chadema maneno ambayo hawajatamka? Hiyo yote ni kujawa na unafiki wa kiwango cha juu, njooni na hoja na sio kubumba bumba vijimaneno as if mliishia nursery school.Na Bado, mtachoka zaidi. Nyie mnapiga matone tone huko halafu mnataka wenzenu wafe njaa........ pumbaaav!!
Huyo ni mtoto wa Mh Wasira…. Kwa ufupi upinzani this time umemalizana wenyeweAmebaki Jide tu!
Mjinga katuzalilisha sana kanda ya ziwaDuu Hadi wagumu wameshindwa kukaza
Nyiee mnayemponda Fid Q kutoa kazi yake ambayo ndiyo kazi yake inayomuendeshea maisha mmetoa hoja gani ya maana zaidi ya unyumbu tu?!!!!! Mmemtafutia deal yenye maslahi zaidi amekataa?!!! Upumbavu tu.Ukiwa na fikra kama zako unatakiwa uende kwenya kioo ujitazame kweli umevaa nguo au uko uchi. Kwa nini mnawatengenezea chadema maneno ambayo hawajatamka? Hiyo yote ni kujawa na unafiki wa kiwango cha juu, njooni na hoja na sio kubumba bumba vijimaneno as if mliishia nursery school.
Hovyo tumewakinai na vijihoja vyenu vya uchochoroni. Njoni na hoja za msingi mkione cha moto.