Rapa Lil Wayne huenda akafungwa miaka 10 jela kwa kumiliki bunduki ya dhahabu

Rapa Lil Wayne huenda akafungwa miaka 10 jela kwa kumiliki bunduki ya dhahabu

McAfee siku hizi kawa kama chizi yani.
Mara ya mwisho nilisikia alikamatwa na intepool huko Hispania na walitarajia kumpeleka marekani kujibu mashitaka yake ya udanganyifu wa kodi
 
Mara ya mwisho nilisikia alikamatwa na intepool huko Hispania na walitarajia kumpeleka marekani kujibu mashitaka yake ya udanganyifu wa kodi
Jamaa pia allikuwa number 1 suspect kwenye mauaji ya majirani zake. Pia alitaka kumbaka mdada flani hivi aliyemchukua kama mtafiti wa madawa kwenye maabara aliyokuwa kaanzisha huko msituni. jamaa chizi chizi alikuwa analala na wanawake wengi anawalipa tu yani addicted to sex
 
Pole yake

Ila atajifunza maana miaka 10 jela kwenda kupiga punyeto na Kula chakula kibovu na madhila mengine ya kutosha atatia akilini
kule hamnaga chakula kibovu mfungwa wa marekani anaishi maisha mazuri kuliko raia wa Tanzania
 
Ila wamarekani bwana wana upendo sana na mabunduki nilishawahi kumuona babu John McAfee akionesha mibunduki anayoimiliki eti ili kuwaogopesha wanaofikiria kwamba kwa sababu yeye ni mzee sasa ndii easy target

Nimeona documentary kuhusu maisha yake kule Belize [emoji1046] kwa mwanetu Shyne [emoji106] nimekubali master wewe utakuwa ni mtu uko deep kwenye documentaries na kujifunza vitu duniani , aisee in a day naangalia documentary si chini ya tano kila siku .
 
Kule
Pole yake

Ila atajifunza maana miaka 10 jela kwenda kupiga punyeto na Kula chakula kibovu na madhila mengine ya kutosha atatia akilini
Manzi wako ana kutembelea unakula mzigo Kama kawa
 
Yan ukipigwa risas kwa hiyo bunduki moja kwa moja unaenda peponi.
Hiyo bunduki ya dhahabu inatakasa dhambi zote 😂😂😂😋
 
Ukionesha unamiliki bunduki ndio unawindwa zaidi ili waichukue wakafanyie uhalifu

better keep low profile
Marekani hakuna mtu wa kukuvamia kukuibia bunduki uliyoonesha. Bunduki kule ni kama simu au baiskeli, mradi una akili timamu na mtu mzima.
 
Back
Top Bottom