TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

Wakati huo kuipata jean ilikuwa shughuli pevu,mpaka uvizie za mission kwenye taasisi za dini..

Dah umenikumbisha, kuna kanisa moja la katoliki Tanga mjini maeneo karibu kabisa na kwa kina Gadner Habash, tumechukua sana pale zagazaga toka ughaibuni kuanzia pamba baiskeli hadi misosi...

Paroko wa pale wakati huo alikuwa mtu poa sana...
 
Now little Timmy got his diploma and little jimmy got life mwamba aliandika basi tu
 
Mkongwe huyo wa Muziki wa Hip Hop aliyetamba na Wimbo wa Gangsta's Paradise amekutwa na umauti akiwa na umri wa miaka 59 nyumbani kwa rafiki yake Los Angeles, Marekani.

Rapa huyo ambaye jina lake halisi ni Artis Leon Ivey Jr inaripoti chanzo cha kifo chake ni Mshtuko wa Moyo lakini Polisi wamesema wanahunguza ziadi kuhusu tuko hilo.

===============


Coolio, a rapper and record producer best known for hits like "Gangsta's Paradise" and "Fantastic Voyage," has died, according to reports. He was 59.

His longtime manager Jarez Posey confirmed the news to Rolling Stone, NBC News and Today Wednesday. He said he believes Coolio had a heart attack, but did not provide an official cause of death.

Born in Pennsylvania in 1963, Coolio, whose real name was Artis Leon Ivey Jr., later moved to Compton, California, where he was raised. He recorded records in the 1980s, and his career blew up in 1995 with his song "Gangsta's Paradise," which was featured in the Michelle Pfeiffer-led film "Dangerous Minds."

His 1994 single “Fantastic Voyage” also hit No. 3 on the Billboard Hot 100.

View attachment 2371155


Wimbo maarufu wa Coolio (See you when you get there)


Rest easy mkali wa
I see u when u get there na gangster paradise
 
Anakupa hii the other homie shot the other homie and ran off his money and when the other homies heard about it they thought it was funny

But who's the dummy?
'Cause, now you done lost the hustler
A down-ass brother can never be
replaced by a buster
And though I got love for ya
I know I can't trust ya
'Cause my crew is rollin' Hummers and your crew is rollin' dustas
 
very sad to hear the news of Coolio’s death,
one of best hip-hop artist, I have known,
R.I.P Legend!
 
Back
Top Bottom