Rapa Rosa Ree katika mazungumzo na Saditz Official ameweka wazi kuwa baba mtoto wake haonyeshi ushirikiano hivyo hawezi kumlazimisha kufanya jambo kwani ni jukumu lake na pia hawezi kumzuia kumuona mwanae au kuwa karibu nae. Sikiliza na utoe maoni yako