Rapa Rosa Ree: Baba mtoto haoneshi ushirikiano, Siwezi kumtafuta, ni jukumu lake

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

Rapa Rosa Ree katika mazungumzo na Saditz Official ameweka wazi kuwa baba mtoto wake haonyeshi ushirikiano hivyo hawezi kumlazimisha kufanya jambo kwani ni jukumu lake na pia hawezi kumzuia kumuona mwanae au kuwa karibu nae. Sikiliza na utoe maoni yako
 
Apambane kwani ameuliza singo maza wenzake kama Baba wa watoto wanahudumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…