Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical

Rapa Stereo amefunguka ya moyoni na hisia zake kwa Chemical

Imegundulika sio bikra?
sio lazima igundulike sio bikra ndio ibume.

Watu tumemthaminisha kwa muonekano wake kweli alistahili kuwa bikra.

So hiyo haikuwahi kuwa Kiki nzuri Kwake bora angesema yeye sio msagaji ingempa Kiki.
 
Stereo stereo.. Kweliii kipendacho roho hula nyama mbichi
 
James pale ardhi alikua na access na watoto wakali tuu, na jamaa alivyo cool na smart kimwili na kiakili angeweza kuchukua watoto wakali sana, matokeo yake kadata na tom boy asie na sura nzuri wala choo. Haya mambo bana
Duuu.....choo ndo nin mkuu?
 
Mkuu inasemekana stereo ni domo zege,ya kweli hayo?
Jamaa ni mshikaji wake sana ben pol toka kitambo sana (toka enzi za Dar seco), na wote naona itikadi zao zinafanana. Sio watu wa kupenda mademu. James nahisi labda useminary wake unachangia
 
Hivi hatumii msuba yule jamaa
Hahahaaa, nijuavyo mimi hatumii ganja kabisa. Wapo wanaofkiria labda alistua kidogo kabla ya kwenda kufunguka kwenye media, hata jana kwenye friday night ya sam misago ila napata ukakasi kuamini kua kuna kitu alitumia kabla, labda lakini hatuwezi jua. jana watu walishangaa kinoma kuona mtu mzima kapiga mpaka magoti ya kutosha mbele ya chemical
 
Duu!!!! Hiyo ya Jana nimeikosa
 
Back
Top Bottom