danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,524
Jana ilikua sio poa mkuu, walikutanishwa wote live. Fanya kupitia insta ya sam misago walau utapata vidokezo ya yaliyojiri janaDuu!!!! Hiyo ya Jana nimeikosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana ilikua sio poa mkuu, walikutanishwa wote live. Fanya kupitia insta ya sam misago walau utapata vidokezo ya yaliyojiri janaDuu!!!! Hiyo ya Jana nimeikosa
Aisee ilikua Noma,ngoja nikacheck hahaaaa!!!!!!!
Chemical nae ni mbaya, anauso flani hivi kama akikatwa kichwa huwez ukadhibitisha ni mwanamke kwa kuangalia labda vinasaba "DNA" vihusike.. sasa sijui stereo kazimia niji na dsm ilivyo na watoto wakali vile