Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KontawaTwende kazi!
Rapcha ana bars, ana flow na anaimba hiphop/trap
Kontawa ana melody, bars kwa mbali,na anaimba hiphop/Bongo fleva
Nani mkali??
Kitu anachoimba kukielewa ni rahisi hatumii maneno magumuKwann?
Yah nimeisikiliza na ndyo wimbo wake naoujua mmoja tu lkn kontawa karibu zote nazijuaRapcha mwenyewe mbona hatumii maneno magumu..umeisikiliza lisa?