karma alvin
Member
- Jan 9, 2013
- 51
- 8
naomba kufahamu ivi mfano unaanza mahusiano na mtu hata hamja fahamiana vizuri wala kukubaliana chochote mara anataka uende ukamtembele mahali anapoishi unaamua kwenda, akakuomba mfanye mapenzi ukakataa akaamua kutumia nguvu yani anakuvua nguo kwa nguvu na kukufanya mapenzi bila ridhaa yako. je hili tendo ni ubakaji au ni nini.