mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
Baada ya Diamond platnumz kupiga mkwanja zaidi ya Billioni moja kutangaza kinywaji cha Blairrre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwanini mkuu?pesa ishajengewa mkondo.inamiminika tu.huyu dogo kama mchawi iv
Hatari sanaKwa yale mapokezi ya Mozambique nilihisi anapokelewa rais kutoka marekani mond endelea kutusua team ushuz karaga baho
Wivu ni kidonda team kibaSo what next,.?
Exactly wanabaki kumshindanisha kiba na platnumz wakati ni watu wasiofanana na ndio maana nliwahi kumshauri Diamond aachane na bifu alilojiwekea na alikiba cz anazidi kumpandishaUsipo sifia mafanikio ya diamond we mnafik tu kizur tukisifie mambo ya team yann mtakufa na presha nyie wapinzan[emoji23][emoji23]
Show za fiesta huwa anapiga dar tu na mwanza ikitokea cz ndio kwenye pesa ndefumond ana akl ya maisha. ila awe anafanya show ndogo ndogo kama fiesta maana mashabk hatumuoni. asidharau mashabk tuna kiu na yy