Rapper 50 cent ataja tiba ya Corona

Rapper 50 cent ataja tiba ya Corona

Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cents ametaja dawa ya Corona.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika:

" This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona virus was racism every body back outside mad as mother fucker."

Kauli hii ameitoa aki refer hatua ya mamilioni ya wamarekani nchi nzima kutoka Nje na kufanya maandamano kupinga kitendo cha mauaji ya kibaguzi yaliyo fanywa dhidi ya George Floyd.

Now mamilioni ya watu nchini Marekani wanatoka Nje kundamana Bila mask Bila sanitizers.

No one talks about masks
No one talks about sanitizers.
No one talks about Corona.

Even the govt of the US don't talk about Corona in relation to the millions of Americans who are on nationwide riots.

# 50 cents has a point.

# Happy birthday Kaka mkubwa Mshana Jr .

# I didn't know me and Mshana Jr share the same birthday.

Ndio maana hulka zetu zinafanana.

# halla team.Gemini

View attachment 1464088
its fiddy cent lloyd banks young buck and joe hahahaaaaa 🎤🎤🎤🎤🎤
mnyamwezi hajaacha matusi tu? one of my fav rappers
 
huyu jamaa Floyd na yule Polisi aliyemuua waliwahi kuwa mabaunsa katika club kwa wakati mmoja huko Marekani na watu wanaowafahamu wanasema yule Polisi alifanya kazi hapo kwa miaka zaidi ya 17 hawakujua kama ni Polisi,kingine yule Polisi mchina aliyekuwa anawakataza watu wasichukue video shot ni SHEMEJI yake na yule Polisi muuaji I can see something there...
 
Back
Top Bottom