Rapper aliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jada Pinket Smith huyu hapa

Rapper aliyekuwa na mahusiano ya kimapenzi na Jada Pinket Smith huyu hapa

Jada sura na shepu mbovu, mgumuuuu kama muuza mkaa, wala she is not sexy at all, kama dume yaani, nadhani Will Smith kaacha muda sana kugonga, huwezi hamasika hata akae uchi, yaani hakuna kitu hapo, not attractive kabisa yaani, anyway..
Nadhani Jada ni mtamu sana maana dogo August anaonekana amechizika na penzi la uyo mmama (reference ni interview ya August). Ila wadada wene sura fulani za powerful woman wanakuaga watamu (naomi campbell, kerry washington, halle berry). Ogopa sana wanawake wa style hii.
 
Weeee huyo mama ni shujaaa weka picha yake
Anaitwa Amidah Shatuh mke wa JP Mpiana,Hapa akiwa na wanaume zake JB,Didi Kinuani na Vita Kamere nao amerudi tena kwa mume wa awali,hii inaitwa pussy power.
 
Attachments

  • Screenshot_20200719_014211.jpg
    Screenshot_20200719_014211.jpg
    85.5 KB · Views: 5
  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    60.6 KB · Views: 3
  • file_5c69d76beff18.jpg
    file_5c69d76beff18.jpg
    46 KB · Views: 5
  • AMIDA-KAMHERE-4.jpg
    AMIDA-KAMHERE-4.jpg
    51.3 KB · Views: 4
  • xta1p8PI_400x400.jpg
    xta1p8PI_400x400.jpg
    16.8 KB · Views: 5
  • hqdefault.jpg
    hqdefault.jpg
    22.3 KB · Views: 4
  • file_5efeea6748582.jpg
    file_5efeea6748582.jpg
    28.2 KB · Views: 4
Aseme nn,atakuwa sawa na JB mpiana mkewe alimuacha akaenda olewa na Pedeshee Didi Kinuani,akamrudia akamuacha tena akaenda olewa na Vita Kamere,Vita Kamere kafungwa miaka 20 jela karudi tena kwa JP Mpiana.
Hawa ni akina nani unaowaelezea hapa????
 
tatizo la mwezi wa nane anashindwa kutambua kua Jada ni bibi yake, anajifanya hakumbuki kua 2pac ndio alitoa bikra pale.
 
Aseme nn,atakuwa sawa na JB mpiana mkewe alimuacha akaenda olewa na Pedeshee Didi Kinuani,akamrudia akamuacha tena akaenda olewa na Vita Kamere,Vita Kamere kafungwa miaka 20 jela karudi tena kwa JP Mpiana.
JB Mpiana amefeli sana nmempokonya heshima yangu kabisa
 
Anaitwa Amidah Shatuh mke wa JP Mpiana,Hapa akiwa na wanaume zake JB,Didi Kinuani na Vita Kamere nao amerudi tena kwa mume wa awali,hii inaitwa pussy power.
Huyo mwanamke ni mzuri kwa muonekano rangi ya dubai udongo mzuri na atakuwa mtamu sana papuchini. Mbaya zaidi ni controlling freak 😂😂😂!!!

Anajua kucheza na akili za wanaume na anajua hasa wanachotaka na kuwapa kwa wakati. Ndio maana anagombewa na ma Don.
 
Anaitwa Amidah Shatuh mke wa JP Mpiana,Hapa akiwa na wanaume zake JB,Didi Kinuani na Vita Kamere nao amerudi tena kwa mume wa awali,hii inaitwa pussy power.
Kuna wimbo mmoja wa JB mpyana unaitwa Hamida.....
bila shaka atakuwa alimuimbia....
ila jameni kuna wanawake wana K tamu huwezi waacha ata iwe vipi....
 
Aseme nn,atakuwa sawa na JB mpiana mkewe alimuacha akaenda olewa na Pedeshee Didi Kinuani,akamrudia akamuacha tena akaenda olewa na Vita Kamere,Vita Kamere kafungwa miaka 20 jela karudi tena kwa JP Mpiana.
Huyo jamaa bwege eh?
 
Huyo mwanamke ni mzuri kwa muonekano rangi ya dubai udongo mzuri na atakuwa mtamu sana papuchini. Mbaya zaidi ni controlling freak [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Anajua kucheza na akili za wanaume na anajua hasa wanachotaka na kuwapa kwa wakati. Ndio maana anagombewa na ma Don.
Wanawake shombe shombe wa kiarabu kama hao bhana[emoji28][emoji28] hivi kwann. Sasa wanafanya ivo? Wanajiona wazuri sana au?
 
Smith described the split, saying: "We decided we were going to separate for a period of time and you go figure out how to make yourself happy and I will go figure out how to make myself happy."

Hapo ndipo kipochi manyoya kilianza kuandaliwa kuliwa.

Dah hayo nduo maisha bwana kwani papuchi yako peke yako wacha na wengine nao wajienjoy
 
Back
Top Bottom