Ng'ombe hazeheki maini.Ivi wanawake wote wale USA bado mtu unatoka na mke wa mtu, tena cougar
Obsession
Ila ata ngekua mie wallah kwa future ama tyga ama kid ink ndoa ningevunja asee
wazungu wanaangalia furaha ya mtu binafs
wanaamini watoto watatengeneza za kwao wenyewe
muda si mrefu tunakoelekea huko..Wenzetu hawa wana mioyo ya ajabu, labda si ajabu hili nalo la kuweka mbele furaha ya wanandoa wanaotaka kuachana mbele kwa mbele badala ya future ya watoto litaanza kuinyemelea Tanzania.
Namwonea huruma tu baby face Scott...
Nimeiona picha yake aseeee she's still [emoji91] for a 42 year old with 4 childrenNg'ombe hazeheki maini.
Tuleteeni hizo picha jamani, wengine musicians tunawajua ni Michael Jackson, Lione Ritchie, Madonna hao wakina Future ni msamiati.Nimeiona picha yake aseeee she's still [emoji91] for a 42 year old with 4 children
The milf Hella fine yes, but c'mon, of the fine Latinas in the states, future had to mess with this specific married one?But how did he wreck Pippen's home though?
Didn't the woman, if indeed what is being said is true, do it willingly?
And what if their marriage was in name only?
Have we heard her side of the story yet?
Btw, she is a fine woman, married or not.
she is indeed an experienced milf.The milf Hella fine yes, but c'mon, of the fine Latinas in the states, future had to mess with this specific married one?
ana watoto wangap jumlaCiara hana hamu na huyo Future
Jitu lina mitabia kama ya Nay wa Mitego! Hakuna kuoa wala nini kila mtoto na mama ake!
Only she knows the status of her marriage.The milf Hella fine yes, but c'mon, of the fine Latinas in the states, future had to mess with this specific married one?
Wanne na kila mtoto na maza ake including na wa Ciara!ana watoto wangap jumla
nashukuru sana kwa jibu ila ciara zaman alikuwa na jinsia mbiliWanne na kila mtoto na maza ake including na wa Ciara!
Kweli, kila kitabu na enzi zake,.."todays rappers" ngoja nimchek hiyo future you tube anafananaje.....Obsession
Mi mwenyewe haijawahi kupita wiki mbili sijamueka ata profile picha WhatsApp. . .ni basi tu kuja kumuona ni 'future impossible tense'
Ila ata ngekua mie wallah kwa future ama tyga ama kid ink ndoa ningevunja asee
Is it true?.....nashukuru sana kwa jibu ila ciara zaman alikuwa na jinsia mbili