witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yaani huyo jamaa ni mibangi kwa kwenda mbele Hamna kitu pale ptuuuu!Kweli, kila kitabu na enzi zake,.."todays rappers" ngoja nimchek hiyo future you tube anafananaje.....
Na kuhonga haongi coz Ciara na wale wadada wengine aliowazalisha walimpeleka mahakamani kwa kutotunza watoto!
Asa sijui mademu wanashoboka na nini pale? Au jahogo?