Rapper Future avunja ndoa ya Scottie Pipen...

Kweli, kila kitabu na enzi zake,.."todays rappers" ngoja nimchek hiyo future you tube anafananaje.....
Yaani huyo jamaa ni mibangi kwa kwenda mbele Hamna kitu pale ptuuuu!

Na kuhonga haongi coz Ciara na wale wadada wengine aliowazalisha walimpeleka mahakamani kwa kutotunza watoto!

Asa sijui mademu wanashoboka na nini pale? Au jahogo?
 
Hilo jina lake tu jibu tosha Futute. Halafu alimzalisha Ciara sasa yupo kumzalisha na huyu.
 
Future_fucking up some commas
 
I always like the way you express actual issues the way they are bila kumung'unya.

Mtu kubisha hilo, itakuwa ni unafiki tu.
 
Bila shaka itakua ilitembea mechi ya maana, itakua Sildenafil at work tu
 
Hiyo party ya no cell phone ndo ikoje?
aligegedwa tu kama groupie? au ndo huyu Future alikuwa nae?
Hizo party zipo ambapo cellphone mnaacha mlangoni ili watu waweze ku socialize vizuri.
Wanawake viumbe wa ajabu sana. Hapo ukute kapenda kifua cha future au mkono ulivyokata kwa mazoezi wakati mumewe once alikuwa hivyo.
Halafu US suala la age difference hali count kabisa kwenye mahusiano.
Nimeona Mama ambaye ameshaolewa mara sita lakini akaenda kuolewa na kijana ambaye wanapishana miaka 40!!! Na bado huyo Mama anajibebisha kwa dogo...
Daah ngachoka.
 
Obsession
Mi mwenyewe haijawahi kupita wiki mbili sijamueka ata profile picha WhatsApp. . .ni basi tu kuja kumuona ni 'future impossible tense'
Ila ata ngekua mie wallah kwa future ama tyga ama kid ink ndoa ningevunja asee
Hello!! Miss, its your bway tyga right here.it seems like u wanna be wit me and I'm ready for dat..let's go to pm tuyajenge.mwaaahh!!
 
...in a pair of tight booty shorts.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…