new level
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 274
- 583
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikifwatilia muziki zaid ya miaka 20 ila toka nianze kusikiliza nyimbo za huyu jamaa juice WRLD nikwamba nimekua addicted na nyimbo zake nina nyimbo zake zaid ya 1000 released na unreleased
Nyimbo zake hunipa furaa sana na pia atanikiwa kwenye depression nikiingia kwenye playlist tu hua najiskia vizuri sana .. hua hazipiti siku 3 bila ku download ngoma yake yoyote I think nitafika adi kwenye nyimbo 2000 kama wengine
kunawimbo wake unaitwa BEEN MYSELF ni unreleased nikifa nais inatakiwa wau play ili kuakikisha kweli nimekufa au lah. maana nikiu play tu kichwa changu hukaa sawa.
R I P juice WRLD 999 forever [emoji885]