Rapper mkubwa Marekani kampaisha Pierre Liquid

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Khalid The great kampaisha Konki Liquid. Ina maanisha nguvu ya mitandao ni kubwa ila kiukweli tumuonee huruma tu konki sababu mtu mwenye roho mbaya mwenye back up ya mtu mkubwa kamchukia.

Usishangae kusikia kavamiwa na majambazi, kagongwa na gari, kakamatwa na madawa ya kulevya, kapewa kesi ya uhujumu uchumi na kadhalika.

Inakera sana ila ndiyo Tanzania mpya hiyo. Awamu ya tano imejaa watawala wenye roho mbaya sana wanaofurahia migawanyiko, kutisha watu, kuteka, kuua, wanakera sana

Konki liquidd EVERBADI SEYI YEEEEEE, ISOOOKEEEEEEEY
haha.PNG
halid.PNG
 
Paul Makonda a.k.a BASHITE asamehewe tu, ufahamu wake ndio unasababisha kuwaona wenzake ni wa hovyo
KIKWETE pamoja na madhaifu yake najua huko alipo usiku analia kwa madhara aliyotuachia, katuletea Rais anayetisha watu,anayegawanyisha nchi badala ya kuunganisha leo hata ndege za ATC zikianguka utasikia shangwe lake,2013 upinzani uliuwepo na nguvu sana ila kagame na malawi walipotutisha WE RALLIED BEHIND KIKWETE TULIIPENDA SANA NCHI YETU BILA KUJALISHA ITIKADI ZA VYAMA,ila sasa tuna mwamba anayetupelekesha na vijana wake kawamanisha wapinzani ni maadu i wanaotakiwa kuadhibiwa vikali,kijana wake bashite ni JANGA KUBWA SANA.kikwete ulimpa huyu dogo U DC baada ya kumpiga warioba akaja baba yake akampa u RC kwa kigezo cha kuwa msukuma na kusema MNAMCHUKIA HUYU NIMAWELTEA SASA AWE MKUU WA MKOA...hakukosea TB joshua kususia uapishwaji pale taifa 2015 kutembea pekupeku na kuwaambia wasaidizi wa lowasa kina mollel kwamba naiona Tanzania inayoenda kuingia kwenye matatizo makubwa
 
khalid the great kampaisha konki liquid inamanisha nguvu ya mitandao ni kubwa ila ki ukweli tumuonee huruma tu konki sababu mtu mwenye roho mbaya mwenye back up ya mtu mkubwa kamchukia,usishangae kusikia kavamiwa na majambazi ,kagongwa na gari ,kakamatwa na madawa ya kulevya, kapewa kesi ya uhujumu uchumi na kadhalika
Inakera sana ila ndiyo tanzania mpya hiyo,awamu ya tano imejaa watawala wenye roho mbaya sana wanofurahia migawanyiko,kutisha watu,kuteka kuua,wanakera sana
Konki liquidd EVERBADI SEYI YEEEEEE,ISOOOKEEEEEEEY
View attachment 1061009View attachment 1061010
Acha uongo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKWETE pamoja na madhaifu yake najua huko alipo usiku analia kwa madhara aliyotuachia, katuletea Rais anayetisha watu,anayegawanyisha nchi badala ya kuunganisha leo hata ndege za ATC zikianguka utasikia shangwe lake,2013 upinzani uliuwepo na nguvu sana ila kagame na malawi walipotutisha WE RALLIED BEHIND KIKWETE TULIIPENDA SANA NCHI YETU BILA KUJALISHA ITIKADI ZA VYAMA,ila sasa tuna mwamba anayetupelekesha na vijana wake kawamanisha wapinzani ni maadu i wanaotakiwa kuadhibiwa vikali,kijana wake bashite ni JANGA KUBWA SANA.kikwete ulimpa huyu dogo U DC baada ya kumpiga warioba akaja baba yake akampa u RC kwa kigezo cha kuwa msukuma na kusema MNAMCHUKIA HUYU NIMAWELTEA SASA AWE MKUU WA MKOA...hakukosea TB joshua kususia uapishwaji pale taifa 2015 kutembea pekupeku na kuwaambia wasaidizi wa lowasa kina mollel kwamba naiona Tanzania inayoenda kuingia kwenye matatizo makubwa
Ulizoea vya kunyonga wewe si bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du we bwana uzi umeforce hoja mpaka nashangaa hasa tatizo lako nini. Embu tuambie pengine tunaweza kukuchangia.
KIKWETE pamoja na madhaifu yake najua huko alipo usiku analia kwa madhara aliyotuachia, katuletea Rais anayetisha watu,anayegawanyisha nchi badala ya kuunganisha leo hata ndege za ATC zikianguka utasikia shangwe lake,2013 upinzani uliuwepo na nguvu sana ila kagame na malawi walipotutisha WE RALLIED BEHIND KIKWETE TULIIPENDA SANA NCHI YETU BILA KUJALISHA ITIKADI ZA VYAMA,ila sasa tuna mwamba anayetupelekesha na vijana wake kawamanisha wapinzani ni maadu i wanaotakiwa kuadhibiwa vikali,kijana wake bashite ni JANGA KUBWA SANA.kikwete ulimpa huyu dogo U DC baada ya kumpiga warioba akaja baba yake akampa u RC kwa kigezo cha kuwa msukuma na kusema MNAMCHUKIA HUYU NIMAWELTEA SASA AWE MKUU WA MKOA...hakukosea TB joshua kususia uapishwaji pale taifa 2015 kutembea pekupeku na kuwaambia wasaidizi wa lowasa kina mollel kwamba naiona Tanzania inayoenda kuingia kwenye matatizo makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amezidi kuwa kileleni, mbona konda ataomba poo, badala ya kumdungua kampaisha, wivu mbaya sana.
 
Konki liquid na sisi wengine wa hovyo hovyo tukacoment kwa mr tokomeza zero
 
ina maana huyo rapper hajaona kazi kubwa inayofanywa na mh. rc....😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Jamaa angepata rangi angavu, angefanana sana na "The Weeknd"
 
Back
Top Bottom