njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Dah namsikiliza kijana Stamina Sharobwenzi sasa hivi clouds fm akiwa anatambulisha team yake ya ndondo cup iitwayo stamina fc anajinasibu kwamba kakipiga sana against Dickson job katika mashindano ya shule za sekondari sasa napata ukakasi mkubwa sana
Huyu jamaa ana miaka 33 ila Job nafikiri tunaambiwa ana 24 ...dah aiseeee au Stamina alikuwa kijeba huko shule
Huyu jamaa ana miaka 33 ila Job nafikiri tunaambiwa ana 24 ...dah aiseeee au Stamina alikuwa kijeba huko shule