njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Job kadanganya umri hao madogo ni agemate wa mdogo wanguDah namsikiliza kijana Stamina Sharobwenzi sasa hivi clouds fm akiwa anatambulisha team yake ya ndondo cup iitwayo stamina fc anajinasibu kwamba kakipiga sana against Dickson job katika mashindano ya shule za sekondari sasa napata ukakasi mkubwa sana
Huyu jamaa ana miaka 33 ila Job nafikiri tunaambiwa ana 24 ...dah aiseeee au Stamina alikuwa kijeba huko shule
Kijeba hapo ni Job... Hata Kwa Macho anaonekana..!Dah namsikiliza kijana Stamina Sharobwenzi sasa hivi clouds fm akiwa anatambulisha team yake ya ndondo cup iitwayo stamina fc anajinasibu kwamba kakipiga sana against Dickson job katika mashindano ya shule za sekondari sasa napata ukakasi mkubwa sana
Huyu jamaa ana miaka 33 ila Job nafikiri tunaambiwa ana 24 ...dah aiseeee au Stamina alikuwa kijeba huko shule
Acha tu kazi ipo wenyewe wanamuita hazina ya taifa ya baadaye yenye miaka 24 na gabon kule alicheza under 17 serengeti boys 2017 sijui ni 22 sasa duuh?Kijeba hapo ni Job... Hata Kwa Macho anaonekana..!
Mbona hata mimi nina 22 unabisha?Kijeba hapo ni Job... Hata Kwa Macho anaonekana..!
May be stamina form 6 ,job form 1
Nilijisemea hivyo ila job kacheza under 17 mwaka 2917 africa kule gabon hivyo ana 22 stamina 33 tofauti ya 11 years na stamina kasema wamecheza naye mara nyingi tena aka mention hadi kibwana labda watu wa morogoro watatusaidiaMay be stamina form 6 ,job form 1
Morogoro kuna bonanza linaandaliwaga linahusisha shule za Secondary na za mtaani sijui kwa sasa ila kabla ya miaka ya 2015 lilikuwa linafanyika sana pale kihonda secondary,kuna mwaka nadhani 2014 au 15 Stamina alichezea timu ya mtaani inaitwa Kihonda Academy na kuna baadhi ya mechi walicheza na timu za shule za secondary katika bonanza hilo..itakuwa wamekutana kwa style hiyo inaelekea Job alikuwa bado shule wakati huo, mimi nilikuwa mmoja ya wadhamini wa mashindano hayo kabla ya baadae kujitoaNilijisemea hivyo ila job kacheza under 17 mwaka 2917 africa kule gabon hivyo ana 22 stamina 33 tofauti ya 11 years na stamina kasema wamecheza naye mara nyingi tena aka mention hadi kibwana labda watu wa morogoro watatusaidia
Job ni kinda lilikuwa na kina kabwili kule Gabon 2017 kwenye u-17 likiwa na miaka 16 lina 21 na nusuHaya tufanye job ana miaka 33 na onyango ana 27
hao wawili nao walicheza na stamina sharobwenzi? nimeambiwa kwamba Job ana 21.5 bado kinda sana tegemeo la taifa kwa miaka 14 ijayoSasa kama John Bocco mpaka leo ana umri wa miaka 29! Nongwa iko wapi kwa huyo Dickson Job kiwa na miaka 24? Juma Kaseja mwenyewe mpaka leo umri umesimama kwenye 30!
Shida iko wapi?
Wachezaji wengi bongo wamedanganya umri
Sasa kama John Bocco mpaka leo ana umri wa miaka 29! Nongwa iko wapi kwa huyo Dickson Job kiwa na miaka 24? Juma Kaseja mwenyewe mpaka leo umri umesimama kwenye 30!
Shida iko wapi?
Hopeless! Kupitia hiyo picha yako tu kwenye avatar, haihitaji akili nyingi kugundua wewe ni nani.Tatizo limo kichwani mwako! Hebu Tikisa Hilo Bichwa lako uhakikishe kama kweli Mungu kakuwekea akili.