Rapper Stamina kazaliwa 1989 ila kacheza soka secondary na Dickson Job

Nmemaliza na D job ni mkubwa ila sio kiivo kuhusu stamina na kibwana ni kweli wamesoma shule moja ila walitofautiana madarasa kibwana alijiunga shulen kwetu mwaka ulifuata akiwa form 2 sisi tukiwa tushamaliza form 4

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaa hapa kwa Mbwana Samatta nifikiri ni mimi tu nimepotea njia. Mwaka 2010 nakumbuka nilikuwa na mchezaji wa Namungo anaitwa Reliants tunamuangalia Samatta ktk Tv akicheza mechi ya Simba sambamba na Okwi sisi tulikuwa wadogo wadogo kidogo ila leo hii sisi ni wakubwa kwake.
 
shule gani? mwaka gani? alikuwa na miaka mingapi? tukienda mitaani kwao, shuleni aliposoma, majilani na hata kwa msajili wa vizazi na vifo kwa hati ya kwanza kutolewa kwa jina lake... tuta ujua ukweli... na ndio kosa la jinai linapo anzia, sema serikali yetu ni nzuri kwa raia wake, la sivyo wna michezo wengi wangenyea videbe
 
Kwani umri wa mtu ni mali ya serikali?
 
Mchezaji hapangiwi mda na mara zote wanakalculator yao ya kukokotoa umri. Wao hawatumii miezi 12 bali wanatumia kikokoteo cha miezi 16 ndio mwaka.
 

2010 Mbwana Samatta alikuwa hapungui Miaka 26.
 
Nilijisemea hivyo ila job kacheza under 17 mwaka 2917 africa kule gabon hivyo ana 22 stamina 33 tofauti ya 11 years na stamina kasema wamecheza naye mara nyingi tena aka mention hadi kibwana labda watu wa morogoro watatusaidia
Jaman si ndondo au?....watoto wa ilala au vingunguti leo wakikwambia said morad nimecheza nae ball usibishe ni Kaka wa mtaani tu kupasiana kupo.
 
Mbwana Samatta kamaliza form 4 mwaka 2008.
 
Ufafanuzi sahihi kabisa na haya mabonanza yapo mfano hapa shuleni kwangu Kuna mtoto wa form anachezea timu ya mtaani na wakubwa kabisa waliomzidi umri mpira huwa una exceptional ya umri ndio maana Ansu Fati anacheza na Pique na Pique atasema amekipiga sana na Ansu Fati
 
Kama ONYANGO ana miaka 28 vipi job asiwe na 24😁😁. Hapo Nkane anamwita ONYANGO babu
 
anasema walikuwa wanasoma wote secondary schools huyo Pique na Ansu fati walicheza wote secondary au barca? tukubaliane kwamba stamina alikuwa kijeba kilichochelewa kuanza shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…