Rapper 'Take off' wa kundi la maruufu la Hiphop 'Migos' afariki kwa kupigwa risasi

I walked down into the bando
The music i heard blew my mind, Takeoff,the quiet storm,he is a man of few words but has the biggest voice
-Kevin coach k lee
Coo, quality control
 

Attachments

  • Migosgforlife.mp4
    3 MB
Teknolojia ya music mtandao ni ya juzi tu Ndugu. Imagine YouTube ni ya 2005 tu hapo. Hao akina 2Pac na vizazi vya kaka zao akina Run DMC tungewaonaje.

Imagine teknolojia hii ingekuwepo 1984 wakati Michael Jackson anadondosha Thriller, angekuwa na views kiasi gani mpaka mwaka huu!? Si ingekuwa kufuru!
 
Sahihi kabisa mkuu,mi mwenyewe Ni mtu wa hip-hop old skuli, vijana wa siku hizi wanaimba ujinga mtupu.
 
[emoji1787][emoji1787]

Nakubaliana na wewe lakini miaka ya karibuni imezidi madogo wanatwangana sana risasi
Lakini Tony Yayo wa G unit alitolea ufafanuzi kuwa sahv social media inakuza watu wengi wanashuhudia lakini shooting imeanza kitambo. Jpo pia sahv hizi Codein na Lean zimechangia kuharibu sana vijana wengi.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi ukiangalia takwimu za mass shooting na gun violence nchini Marekani zimekuwa zikiongezeka sana kadiri miaka inavyoenda.

Hata takwimu zinaonyesha mauaji ya hao wasanii nayo yameongezeka miaka ya karibuni tofauti na zamani
 
Hapa tupo pamoja nyimbo hizi za hawa watoto wa siku hizi sisikilizi kabisa
 
Hakuliponda hilo kundi bali aliponda rap style ya sasa kiujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…