Nuru Muyanza
Member
- Sep 2, 2014
- 28
- 14
Sasa mbona asiichore usoni ili mtu aone haya kabla haja mtongoza, sasa kiunoni siatakuwa ashavuliwa nguo kabisa. Hiyo ni kuiga tu vitu visivyo na msingi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cc manfongooHainaga tattoo. ..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa huyo kibonge kachemsha wanaume wa dizain hii huwa hawaaminikagiView attachment 386618
Huyu ndio anamzuzua toto la kinyakyusa? Sio mwanaume wa Dar kweli huyu?
Hicho kiuno au kitambi??kiuno gani kimekaa kama kiroba cha mchele
Ana moyo mgumuView attachment 386618
Huyu ndio anamzuzua toto la kinyakyusa? Sio mwanaume wa Dar kweli huyu?
HaahahahahahahhaHuyu si awilo longomba huyu jamani??