Rapper Young Dolph auawa

Rapper Young Dolph auawa

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Hii habari ndiyo kwanza nimeiona. Binafsi ni mmoja wa mashabiki wake .

Hii habari imeni_pain mno. Hapo kabla alisha_survive matukio mawili ya kupigwa risasi. Hili tukio limetokea jumatano mchana huko Memphis. Alikuwa mtu anayejitolea sana kwa jamii yake huko Memphis. Mwenyezi Amrehemu

Young_Dolph_2017.jpg
 
Inaelekea Wasanii wanaojitolea (African Americans) kwa jamii zao jambo hilo huwa kama vile hailiwapendezi baadhi ya watu/makundi, hivyo kupelekea kuwindwa ama kuuwawa. NIPSIE HUSSLE nae aliuwawa kwa mazingira kama haya.
 
Back
Top Bottom