JF ya siku hizi sio kama zamani ipo very slow sana na sisi ambao tunapata hizi habari za wasanii wa mbele mapema pia ni wavivu wa kufungua thread basi tabu tupu...Young Dolph kifo chake kiliniuma sana ni mmoja ya inspiration ya marapa wa Memphis kama kina Moneybaggyo,Yo Gotti,Blocboy Jb na Cousin wake Key Glock ingawa sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ila kama ni mfuatiliaji wa nyimbo za mbele kuna hit song ya trap inaitwa cut it ameshirikiana na O.T Genasis alifanya vyema sana mule Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi