donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Kweli, disasta Kuna ile ngoma anaelezea alivoingia job mizinguo halafu anarudi geto anaskia sauti za wife akimegwaNamkubali jamaa ni bonge la story teller hata hapa tz msanii mwenye flow kama zake namuona ni dizasta
Ukisikiliza im not racist ya joyner afu ukisikiliza na mascular feminist ya dizasta utaona ni style moja ya msanii ku delivery content kwa ku switch side
ngoma inaitwa siku mbayaKweli, disasta Kuna ile ngoma anaelezea alivoingia job mizinguo halafu anarudi geto anaskia sauti za wife akimegwa
Mi naamini kuna kitu wazungu wanaogopa kuhusu weusi ndio maana hawaishi kuonyesha chuki na hasira dhidi yetu! Kuna siku tuta restore kile tulichokipoteza.Kifo cha huyu rapper kimeleta taswira mpya ya mitazamo ya baadhi ya wadau
Hapa jaden anadai kua siku zote wahanga kwenye haya matukio ni blacks. Kwamba wazungu ambao wako na silaha muda wote full secured wameishia kutekwa nyara lakini kwa black ambao hawana silaha hali ni tofauti wamekua wakiuliwa
View attachment 2018684
=======
View attachment 2018686
Hii ya mtoto wa miaka 12 kuuliwa inasikitisha na kukatisha tamaa kabisa kuwa na ndoto za kuishi US
View attachment 2018688
View attachment 2018689
JF ya siku hizi sio kama zamani ipo very slow sana na sisi ambao tunapata hizi habari za wasanii wa mbele mapema pia ni wavivu wa kufungua thread basi tabu tupu...Young Dolph kifo chake kiliniuma sana ni mmoja ya inspiration ya marapa wa Memphis kama kina Moneybaggyo,Yo Gotti,Blocboy Jb na Cousin wake Key Glock ingawa sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ila kama ni mfuatiliaji wa nyimbo za mbele kuna hit song ya trap inaitwa cut it ameshirikiana na O.T Genasis alifanya vyema sana mule Mungu ailaze roho yake mahala pema peponiHii habari ndiyo kwanza nimeiona. Binafsi ni mmoja wa mashabiki wake .
Hii habari imeni_pain mno. Hapo kabla alisha_survive matukio mawili ya kupigwa risasi. Hili tukio limetokea jumatano usiku huko Memphis. Alikuwa mtu anayejitolea sana kwa jamii yake huko Memphis. Mwenyezi Amrehemu
View attachment 2017744
Katika generation ya trap, wasanii waliokufa nikasikitika aisee ilikua ni Jarad higgins (Juice WRLD
Bado wana msala na finger prints walizoziacha kwenye gari lazima wapatikane hawaInasemekana hyo gari waliyoitumia kwenye mauaji wahuni waliiba sehemu , na wakaitelekeza mahali few hours after fatal shooting
Wivu tu sana sanaInasiktisha sana na pole yao sana wafiwa...
Mambo ya visasi...
Binafsi jana jioni hii habariJF ya siku hizi sio kama zamani ipo very slow sana na sisi ambao tunapata hizi habari za wasanii wa mbele mapema pia ni wavivu wa kufungua thread basi tabu tupu...Young Dolph kifo chake kiliniuma sana ni mmoja ya inspiration ya marapa wa Memphis kama kina Moneybaggyo,Yo Gotti,Blocboy Jb na Cousin wake Key Glock ingawa sio maarufu sana kwa baadhi ya watu ila kama ni mfuatiliaji wa nyimbo za mbele kuna hit song ya trap inaitwa cut it ameshirikiana na O.T Genasis alifanya vyema sana mule Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
Dah kweli aisee mimi nilijua masaa machache tu baada ya tukio kutokea lakini ndo hivyo mvivu kuanzisha thread ukizingayia watu humu wanapenda story za kina Juma Lokole ikabidi niendelee na mambo yangu bila kujua kwamba kuna wapenzi wa celebrities wa USABinafsi jana jioni hii habari
ndio nimeiona wakati tukio ni la jumatano. Actually nimechelewa kuiona.
Young gereration waliotutokaKatika generation ya trap, wasanii waliokufa nikasikitika aisee ilikua ni Jarad higgins (Juice WRLD)
Umenikumbusha lines za joyner Kwa hao marehemuYoung gereration waliotutoka
Xxx tentasion
Lil snupe
Huyu dogo lil snupe alikua anafanya sana freestyle nlimkubali sana adse
Ujue Memphis kuna matukio ya uhalifu sana ni mji wa pili kwa uhalifu Marekani baada ya Detroit wasanii wengi wa Memphis ni products ya haya magang hasa bloods na cripsNaona hii inaweza kuwa ngumu maana hao wahalifu naona wamevaa gloves mikononi. Wako makini kutoacha alama.
Yes yes, bonge la ngoma. Hivi jMaa ni zao la tamaduni music?ngoma inaitwa siku mbaya
Hapa ndio utaamini msemo wa TMK Wanaume "nyumbani ni nyumbani hata kama vichakani"Kifo cha huyu rapper kimeleta taswira mpya ya mitazamo ya baadhi ya wadau
Hapa jaden anadai kua siku zote wahanga kwenye haya matukio ni blacks. Kwamba wazungu ambao wako na silaha muda wote full secured wameishia kutekwa nyara lakini kwa black ambao hawana silaha hali ni tofauti wamekua wakiuliwa
View attachment 2018684
=======
View attachment 2018686
Hii ya mtoto wa miaka 12 kuuliwa inasikitisha na kukatisha tamaa kabisa kuwa na ndoto za kuishi US
View attachment 2018688
View attachment 2018689