Rapper Young Dolph auawa

Alitunga wimbo kuwaimbia wasanii waliokufa wakiwa bado wana umri mdogo "What's the 27 Club? We ain't making it past 21"

27 club ni list ya wasanii waliokufa wakiwa bado hawajafika umri wa miaka 27

27 Club ni list ya wasanii ambao walifariki wakiwa na umri wa miaka 27.
 
Unakufa hali yakuwa singer, mlevi, mzinzi n.k,,,,namuonea huruma sana.
 
Nimeumia sana.....but whhyy kijana bado mdogo..Hivi huko marekani mbona hivi hizo silaha mbona kama njugu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…