Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
27 Club ni list ya wasanii ambao walifariki wakiwa na umri wa miaka 27.Alitunga wimbo kuwaimbia wasanii waliokufa wakiwa bado wana umri mdogo "What's the 27 Club? We ain't making it past 21"
27 club ni list ya wasanii waliokufa wakiwa bado hawajafika umri wa miaka 27
![]()