Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow 22 years, ypo chuo flani, na mtoto anakaa kwa mtu ndugu yake.
Huyo mdada kifupi ni mrembo ni ukimwangalia kama hajawai kuzaa, kapata mtoto kwenye mambo ya kula tunda kimasihara, ila jamaa kamwelewa demu na dem kamwelewa jamaa, hakumuuliza kuhusu baba mtoto ila aliambiwa ana familia yake.
Jibu nililompa, hakikisha baba mtoto amekufa na kaburi lake umeliona, kama yupo hai subili afe, ukitangulia wewe yote kheri[emoji3][emoji3][emoji3], mwenye kuongezea ushauri kwa huyu baharia,
Sent using Jamii Forums mobile app