Rariki anaomba ushauri

Rariki anaomba ushauri

Jstar1

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,391
Reaction score
1,347
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow 22 years, ypo chuo flani, na mtoto anakaa kwa mtu ndugu yake.

Huyo mdada kifupi ni mrembo ni ukimwangalia kama hajawai kuzaa, kapata mtoto kwenye mambo ya kula tunda kimasihara, ila jamaa kamwelewa demu na dem kamwelewa jamaa, hakumuuliza kuhusu baba mtoto ila aliambiwa ana familia yake.

Jibu nililompa, hakikisha baba mtoto amekufa na kaburi lake umeliona, kama yupo hai subili afe, ukitangulia wewe yote kheri[emoji3][emoji3][emoji3], mwenye kuongezea ushauri kwa huyu baharia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote huwa natoa sauti ya ushauri wangu kwa hawa single parent.

Ukiona mwanaume amekupenda akakuoa ukiwa na mtoto wa mwanaume mwingine, mheshimu sana. Maana jamii yetu imegeuka na kuwaona kama non-marketable.

Hivyo usije ukamvunja moyo kwa kurudia upashaji viporo. Hizi mada msidhani zinaishia hapa jamvini, hizi mada hadi kitaani ziko applicable sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapata demu mwenye mtoto wa miaka mitano, ndo mnaita single mother, demu ni mkali sana haswaaa, ila yeye kanambia anawaogopa single mother, ila kazama kwa penzi la huyo mama, uyo mdada ana bellow 22 years, ypo chuo flani, na mtoto anakaa kwa mtu ndugu yake.

Huyo mdada kifupi ni mrembo ni ukimwangalia kama hajawai kuzaa, kapata mtoto kwenye mambo ya kula tunda kimasihara, ila jamaa kamwelewa demu na dem kamwelewa jamaa, hakumuuliza kuhusu baba mtoto ila aliambiwa ana familia yake.

Jibu nililompa, hakikisha baba mtoto amekufa na kaburi lake umeliona, kama yupo hai subili afe, ukitangulia wewe yote kheri[emoji3][emoji3][emoji3], mwenye kuongezea ushauri kwa huyu baharia,

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh
 
Back
Top Bottom