johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumtaka ni tofauti na kumchagua!wazee wa kigoma wanamtaka zitto
Mikwara mbuzi tu ile!Kwahiyo zile hoja za marekani huzioni au huzitaki kama mtoto wa nabii kazuiwa kuingia marekani kwa kosa la kutoa uhai wa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kijana namfahamu yupo smart Sana hususani kwenye uchumi kwao ni wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma yamkini anaweza kwenda kumtoa zitto pale kigoma mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM haihitaji kura na tume ilikwishapewa maelekezo.wazee wa kigoma wanamtaka zitto
Bwashee na atakaemrithi mh Kangi ni nani au fununu hujapata bado?Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini.
Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo kugombea ubunge.
Maendeleo hayana vyama!
wazee wa kigoma wanamtaka zitto