Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani

Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya raia mkoani Mara ndio njia pekee itakayolinusuru taifa letu Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwani Samia na Magufuli si ni kitu kimoja ? Ras anapingana na hii kauli ya Rais?

Ni ukombozi gani Magufuli alikuwa akiuleta ambao Samia ameuacha?
 
Viongozi makini hatuwezi kuwapata kwa kutumia katiba hii, tusidanganyane.

Katiba yetu inatunyima sisi watanzania kuwapata viongozi tunaoona wanaweza kutuongoza kwa weredi, kinachofanyika ni CCM kutuchagulia.

Katiba mpya ndiyo suluhisho la yote haya na mengine mengi.
 
Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani

Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya raia mkoani Mara ndio njia pekee itakayolinusuru taifa letu Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
Mazuzu kama haya ni kufukia ardhini.
 
Kwani Samia na Magufuli si ni kitu kimoja ? Ras anapingana na hii kauli ya Rais?

Ni ukombozi gani Magufuli alikuwa akiuleta ambao Samia ameuacha?
Samia ni Magufuli Mwingine.

Ndio maana 2030 tutahitaji tena Magufuli wa kukamilisha kazi za mama!
 
Mungu Alitupa Mtihani mkubwa Kuondokewa na JPM
Mungu aliliponya Taifa hili kwa kulidondosha Jiwe lililokiwa linaua watu wake. Watanzania tuna kila haki ya kushukuru Mungu kwa hili. Jamaa alidhani
ataua bila yeye kufa.
 
Back
Top Bottom