Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

Ras Mtimanyongo: 2030 ataibuka Magufuli mwingine haijalishi chama atakachotokea lakini atashinda!

Samia ni Magufuli Mwingine.

Ndio maana 2030 tutahitaji tena Magufuli wa kukamilisha kazi za mama!
Acha mara moja kumfananisha mama na mambo ya ajabu asije kulaanika. Yaani mama unamfananisha na Jiwe [emoji34]
 
Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani

Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya raia mkoani Mara ndio njia pekee itakayolinusuru taifa letu Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
KWA katiba? Ipi mibangi inamsubua huyo rasi
 
Back
Top Bottom