johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kweli aiseeMara 1000 huyu mama kuliko Jiwe,
Mazuzu kama haya ni kufukia ardhini.Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani
Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima ikamilike na taifa liokolewe na kunufaika na rasilimali hivyo mchakamchaka ulioshangiliwa na maelfu ya raia mkoani Mara ndio njia pekee itakayolinusuru taifa letu Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Samia na Magufuli si ni kitu kimoja ? Ras anapingana na hii kauli ya Rais?
Ni ukombozi gani Magufuli alikuwa akiuleta ambao Samia ameuacha?
Waambie Chadomo waimbe tuone huo ushindi wao.Nakuhakikishia hata 2025 atakae imba nyimbo za Magufuli nanashinda mapema sana.
Hizo akili za kibavicha utaziacha lini?Watu wamemchoka bibi ushungi kupita kiasi, mfumoko wa bei wa bidhaa, maneno matupu bila vitendo, umeme kuwa hisani na siyo nishati.
Mama anaendeleza kazi hadi 2030 na tunaweza tukampa mitano tena!Thread za Kumchoka Mama
Samia ni Magufuli Mwingine.Kwani Samia na Magufuli si ni kitu kimoja ? Ras anapingana na hii kauli ya Rais?
Ni ukombozi gani Magufuli alikuwa akiuleta ambao Samia ameuacha?
Wewe na Nani!?Mama anaendeleza kazi hadi 2030 na tunaweza tukampa mitano tena!
Mwanaccm!Wewe na Nani!?
Haya sawaMwanaccm!
Mungu aliliponya Taifa hili kwa kulidondosha Jiwe lililokiwa linaua watu wake. Watanzania tuna kila haki ya kushukuru Mungu kwa hili. Jamaa alidhaniMungu Alitupa Mtihani mkubwa Kuondokewa na JPM